ZAKAH SEHEMU YA 3
Assalam Alaykum Wa RahmatuLLAH Wa Barakatuh
*KUTOA ZAKKAH*
========🔹🔷🔹
========
_SEHEMU YA TATU_
*Kufaradhishwa Zakaah*
```▶Zakaah imefaradhishwa wakati Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) alipokuwa Makkahkatika siku za mwanzo za Uislam, lakini hapakuwekwa Nisaab, (kiwango cha mali ambacho mtu akiwa nacho kwa muda wa mwaka analazimika kuitolea Zakaah), wala kiasi cha kulipa, isipokuwa waliachiwa Waislam wenyewe kukisia kiasi cha kutoa.
Katika mwaka wa Pili baada ya Hijrah, ilifaradhishwa kiasi chake katika kila aina ya mali na kubainishwa vizuri.```
Itaendelea In Shaa Allah
MTARISHAJI
SHEKH TAMBO WHATSAPP NO+97433799776
WASAMBAZAJI
QURAN NA SUNNAH BLOGGER
WHATSAPP NO +255713849566
TEMBLEA BLOGGER YETU KWA KUSOMA DARASA ZETU ZAIDI
http://qurannasunnahtz.blogspot.com/
No comments