MWANAMKE KUFUNIKA USO WAKE KWENYE SWALA
✹•━━━✿🍃🌸🍃✿━━━•✹
*🥀MWANAMKE KUFUNIKA USO WAKE KWENYE SWALA AKIWA MBELE YA WANAUME🥀*
*↪️Aliulizwa Sheikh ibn Baaz (rahimahullah):*
*SWALI:*⬇️
*JE* yafaa kwa mwanamke kuswali hali akiwa amevaa *NIQAAB* au ninja ama ataivua na kuweka kitu kingine afunike *uso wake kamili akiwa anaswali mahali penye wanaume?*
*↪️SHEIKH Akajibu:*
الواجب عليها ستر وجهها بخمار *أو غيره، إذا كان عندها أجانب، أجنبي ليس محرماً لها تصلي مع ستر الوجه بخمار أو نقاب أو غيرهما، وأما إذا كان ما عندها أحد فالسنة أن تكشف وجهها، نعم.*
Wajibu kwake ni ausitiri uso wake kwa mtandio au mfano wake akiwa yuko penye *wanaume ajnabi.* Mwanaume ajnabi ambaye si mahram yake; ataswali hali ya kuwa *ameusitiri uso kwa mtandio au NIQAAB au mfano wa hizo*.
*Na iwapo hamna yeyote hapo alipo, basi Sunna ni asiufunike uso wake. Naam*.
WASAMBAZAJI
QURAN NA SUNNAH TZ
WHATSAPP NO +255713849566
TEMBELEA KWENYE MITANDAO KWA MASOMO MENGINE ZAIDI👇🏾
websites.
http://qurannasunnahtz.blogspot.com/
Facebook page.
https://m.facebook.com/Quran-na-sunnah-tz-100238655597178/?ref=bookmarks
Instagram.
http://www.instagram.com/qurannasunnah
Whatsapp.
https://chat.whatsapp.com/FfEoBrL4bmr0vbNQhNPKFE
telegram.
https://t.me/joinchat/3WW1yKOS9-MzN2Zk
No comments