HAWAJUI WENGI KATIKA WANANDOA
*HAWAJUI WENGI KATIKA WANANDOA*
✍ الوطء (الجماع) يزيد في سمع الولد وبصره
*JIMAI INAZIDISHA USIKIVU WA MTOTO NA UONI WAKE.*
✍ قـالـ العلامة ابن القيم رحمه الله :
Amesema mwanachuoni Ibnul qayyim ( ALLAH amrehem )
" الوطء يزيد في خلقه الولد
Jimai huzidisha umbile LA mtoto alie tumboni
" - يعني كثرة وتكرار الجماع في فترة الحمل وخاصة المراحل الأولى -
Yaani kufanya Mara nyingi na kurejea rejea TENDO LA NDOA (JIMAI) ktk kipndi kile cha ujauzito haswa haswa ktk zile hatua za mwanzo
كما قال الامام أحمد :
الوطء يزيد في سمع الولد وبصره وهذا أرجح الأقوال
Kama alivosema imam Ahmad:
JIMAI inazidisha usikivu (wa mtoto alie tumbon) na uoni wake Na hii ndo qauli yenye nguvu zaidi
وقد ثبت عن النبي - صل الله عليه وسلم : أنه مَرَّ على امْرَأَةٍ مُجِحٍّ عَلَى بَابِ فُسْطَاطٍ ، فَقَالَ :
( لَعَلَّ سيدها يُرِيدُ أَنْ يُلِمَّ بِهَا ، لَقَدْ هَمَمْتُ أَنْ أَلْعَنَهُ لعنة تَدْخُلُ مَعَهُ فِي قَبْرِهِ كَيْفَ يُوَرِّثُهُ وَهُوَ لَا يحلُّ لَهُ ؟)
Na kwa hakika imethibiti toka kwa MTUME swalla Allah alayhi wasallam
Ya kwamba alipita kwa mwanamke mwenye mimba ktk mlango wa hema, akasema huenda bwana wake ni mwenye kulazimikiana nae (yan mwenye kukithirisha na kurejea rejea jimai na mwanmke uyo) kwa hakika niliazimia mie kumlaaani mwanaume uyo laana ambayo itaingia pamoja nae kaburini mwake
Inakuaje amrithishe mtu ambae hana haqqi iyo.
والمجح : الحامل المقرب .
فهذا دليل على أن وطء الحامل إذا وطئت كثيراً ؛ جاء الولد عبلاً ممتلئاً وإذا هجر وطؤها ؛ جاء الولد هزيلاً ضعيفاً .
Hii ni dalili ya kwamba tendo LA ndoa kwa mwanamke mwenye mimba atakapofanya tendo ilo Mara nyingi,huja mtoto haliykuwa in mnene na atakapohama mwanaume kujamiiana na mwanmke uyo huja mtoto amekondeana tena
WASAMBAZAJI
QURAN NA SUNNAH BLOGGER
WHATSAPP NO +255713849566
TEMBLEA BLOGGER YETU KWA KUSOMA DARASA ZETU ZAIDI
http://qurannasunnahtz.blogspot.com/
No comments