KUNYAMAZIA HAKI
🌿KUINYAMAZIA HAKI AU KAULI YA BAATWIL KWA SABABU YA MALI ANAYOPEWA MWANACHUONI NI DHAMBI KUBWA ZAIDI KULIKO RIBA NA KAMARI 🌿
🎇 FATWA TA SHEIKH ABDUL-AZIZ AL-TWURAYFIY HAFIDWAHULLAH .
▶ Anesema Sheikh Abdul-aziz Al-Twurayfiy Hafidhwahullah :
" Mali anayochukua Mwanachuoni kwa sababu ya kuinyamazia Haki au Kauli ya Baatwil ni (Dhambi) kubwa zaidi kuliko Riba na Kamari kwa sababu (jambo) la pili ni kula kwa ajili ya Dunia kwa kupitia Dunia na la kwanza ni kula kwa ajili ya Dunia kwa kupitia Dini " .
📕 Chimbuko :
( @abdulaziztarefe )
◀ قال الشيخ عب العزيز الطريغي حفظه الله :
" المال الذي يأخذه العالم للسكوت عن الحق أو قول الباطل أعظم من الربا والقمار : لأن الثاني أكل للدنيا بالدنيا والأول أكل للدنيا بالدين " .
📕 المصدر :
( @abdulaziztarefe )
💦💦💦💦💦💦💦💦💦💦💦💦💦💦💦💦💦💦💦💦💦💦💦💦
WASAMBAZAJI
QURAN NA SUNNAH BLOGGER
WHATSAPP NO +255713849566
TEMBLEA BLOGGER YETU KWA KUSOMA DARASA ZETU ZAIDI
http://qurannasunnahtz.blogspot.com/
No comments