MAANA YA SAUM
*MAANA YA SAUM KISHERIA NA CHEO CHA KUFUNGA RAMADHANI*
١- الصيام وهو التعبد لله تعالى بترك المفطرات من طلوع الفجر إلى غروب الشمس.
1. Saum ni kujikurubisha kwa Allah kwa kuacha yanayofunguza kuanzia kuchomoza alfajiri hadi kuzama kwa jua.
٢- صيام رمضان أحد أركان الإسلام العظيمة؛ لقول النبي صلى الله عليه وسلم: "بني الإسلام على خمس: شهادة أن لا إله إلا الله، وأن محمد رسول الله، وإقام الصلاة، وإيتاء الزكاة، وصوم رمضان، وحج البيت الحرام" [متفق عليه] .
2. Kufunga Ramadhan ni mojawapo ya nguzo za Uislamu kubwa; kwa kauli yake Mtume ﷺ: “Uislamu umejengwa kwa nguzo tano: kushuhudia kuwa hakuna anayestahiki kuabudiwa ila Allah na kusimamisha swala na kutoa Zaka na kufunga Ramadhani na kuhiji nyumba takatifu" [Muttafaq Aleih]
📚[نبذ في الصيام للعلامة ابن عثيمين (ص٢)]
📚[Nubadh Fi Sswiyaam cha Al al-Allaama ibn uthaymiin (uk 2)]
•┈┈•◈◉❒📜❒◉◈•┈┈•
©️Deen Khaalis (Da'awatu t-Tawheed)
WASAMBAZAJI
QURAN NA SUNNAH BLOGGER
WHATSAPP NO +255713849566
TEMBLEA BLOGGER YETU KWA KUSOMA DARASA ZETU ZAIDI
http://qurannasunnahtz.blogspot.com/
No comments