NASAHA ZA USIKU
═════🍃🌹🍃═════
🌹NASAHA ZA USIKU🌹
⏬⏬⏬⏬
🌗 *KUPIGA HODI*
-• Uislamu umetufunza adabu tunapokwenda katika majumba ya watu na tunapaswa kupiga hodi nasio tunaingia tu kwani Allah anasema :
يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا لَا تَدْخُلُوا بُيُوتًا غَيْرَ بُيُوتِكُمْ حَتَّىٰ تَسْتَأْنِسُوا وَتُسَلِّمُوا عَلَىٰ أَهْلِهَا ۚ ذَٰلِكُمْ خَيْرٌ
_لَّكُمْ لَعَلَّكُمْ تَذَكَّرُونَ
*Enyi mlio amini! Msiingie nyumba zisio nyumba zenu mpaka mwombe ruhusa, na mwatolee salamu wenyewe. Hayo ni bora kwenu mpate kukumbuka.*
*Na msip o mkuta mtu humo basi msiingie mpaka mruhusiwe. Na mkiambiwa: Rudini! Basi rudini. Hivi ni usafi zaidi kwenu. Na Allah anajua mnayo yatenda.*
-> Kwaio Tunapokwenda katika majumba ya watu kwanza tunatakiwa tubishe hodi , tuwatolee salamu tutakao wakuta na kama wakati unabisha hodi ukaulizwa *Wewe nani*?? Unatakiwa utaje jina lako nasio kusema *MIMI*
*Allah ndo mjuzi zaidi*
QURAN NA SUNNAH TZ
WHATSAPP NO +255713849566
TEMBELEA KWENYE MITANDAO KWA MASOMO MENGINE ZAIDI👇🏾
websites.
http://qurannasunnahtz.blogspot.com/
Facebook page.
https://m.facebook.com/Quran-na-sunnah-tz-100238655597178/?ref=bookmarks
Instagram.
http://www.instagram.com/qurannasunnah
Whatsapp.
https://chat.whatsapp.com/FfEoBrL4bmr0vbNQhNPKFE
telegram.
https://t.me/joinchat/3WW1yKOS9-MzN2Zk
YouTube
http://m.youtube.com/channel/UC1i0tOe8KZP7L0-rOisIb2A
No comments