NDOA SEHEMU YA 21
*A'ssalam Alaykum Wa RahmatuLLAH Wa Barakaatuh*
🛑. *ADABU ZA MAISHA*
🛑
*YA NDOA - آداب الحياة الزّوجية*
```SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA```
============🔹🔷🔹
============
*7⃣Kujua Fiqhi ya Wanawake - الإلمام بفقه النسا*
💘 Ni kitu kinachopendeza kwa mume kujua na kufahamu au hata kujifunza hukumu za ki-Fiqh zinazohusiana na wanawake, kwa khofu ya kutoangukia katika haramu, na amfundishe mkewe kama *hafahamu hukumu za twahara na Swalah na hedhi…*
Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala) Anasema:
يا أيها الذين آمنوا قوا أنفسكم وأهليكم نارا وقودها الناس والحجارة
*“ Enyi mlioamini! Jiokoeni Nafsi zenu na watu wenu, na moto ambao kuni zake ni watu na mawe…” (At-Tahrym: 6)*
Na ikitokea mwanamke hafahamu hukumu hizi za ki-Fiqh, au mumewe hakuweza kumfundisha ni juu yake kuwauliza *Ahlu-Dhikri (wenye ujuzi)* katika mabaraza ya ki-elimu yanayo jihusisha na wanawake.
Mtume (Swalla Llaahu 'alayhi wa sallam) amesema:
نعم نساء الأنصار لم يمنعهنّ الحياء أن يتفقّهن في الدّين
*“Wabora wa wanawake ni wanawake wa ki-Answaar ambao haikuwazuia haya katika kujifunza mambo ya Dini.” (Al-Bukhaariy na Muslim)*
Itaendelea In Shaa Allah
*NDOA KATIKA UISLAM*
📗〽〽〽〽〽〽〽〽〽📗
QURAN NA SUNNAH TZ
WHATSAPP NO +255713849566
TEMBELEA KWENYE MITANDAO KWA MASOMO MENGINE ZAIDI👇🏾
websites.
http://qurannasunnahtz.blogspot.com/
Facebook page.
https://m.facebook.com/Quran-na-sunnah-tz-100238655597178/?ref=bookmarks
Instagram.
http://www.instagram.com/qurannasunnah
Whatsapp.
https://chat.whatsapp.com/FfEoBrL4bmr0vbNQhNPKFE
telegram.
https://t.me/joinchat/3WW1yKOS9-MzN2Zk
YouTube
http://m.youtube.com/channel/UC1i0tOe8KZP7L0-rOisIb2A
No comments