ZAKAH SEHEMU YA 38
Assalam Alaykum Wa RahamatuLLAH WA Barakatuh
*KUTOA ZAKAH*
=======🔹🔷🔹
=======
_SEHEMU YA THALATHINI NA NANE_
*Kuinunua Zakaah*
```Mtume (Swalla Llaahu ‘alayhi wa sallam) amekataza mtu kuinunua Zakaah yake.
Kutoka kwa ‘Abdullaah bin ‘Umar (Radhiya Llaahu ‘anhu), amesema:
"‘Umar (Radhiya Llaahu ‘anhu) alimtoa farasi wake Swadaqah fiy sabiyli Llaah, kisha akamkuta farasi huyo anauzwa na akataka kumnunua. Akamuuliza Mtume wa Mwenyezi Mungu (Swalla Llaahu ‘alayhi wa sallam) juu ya jambo hilo, akamwambia:
"Usimnunue na wala usirudie (kutaka kuimiliki tena) Swadaqah yako"
Al-Bukhaariy, Muslim na wengineo
Baadhi ya maulamaa wakasema kuwa kukataza huko ni kwa ajili ya kujiepusha tu, na si kwa ajili ya kuharamisha, wakiegemea Hadiyth nyingine inayoruhusu mtu kuipokea Swadaqah yake kama zawadi itokayo kwa masikini aliyempa.```
Itaendelea In shaa Allah
*+97433799776*
*RAUDHWATUL ILM*
*UNGANA NASI KUPITIA TELEGRAM BONYEZA LINK IFUATAYO⤵*
https://t.me/joinchat/AAAAAEiWeE_WKW4ORQxRzw
QURAN NA SUNNAH TZ
WHATSAPP NO +255713849566
TEMBELEA KWENYE MITANDAO KWA MASOMO MENGINE ZAIDI👇🏾
websites.
http://qurannasunnahtz.blogspot.com/
Facebook page.
https://m.facebook.com/Quran-na-sunnah-tz-100238655597178/?ref=bookmarks
Instagram.
http://www.instagram.com/qurannasunnah
Whatsapp.
https://chat.whatsapp.com/FfEoBrL4bmr0vbNQhNPKFE
telegram.
https://t.me/joinchat/3WW1yKOS9-MzN2Zk
YouTube
http://m.youtube.com/channel/UC1i0tOe8KZP7L0-rOisIb2A
No comments