NDOA SEHEMU YA 15
*Assalam A'laykum Wa RahmatuLLAH Wa Barakaatuh*
🛑. *ADABU ZA MAISHA*
🛑. *YA NDOA - آداب الحياة الزّوجية*
```SEHEMU YA KUMI NA TANO```
=========🔹🔷🔹
=========
*Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala) Amesema katika Surat Ruum Aayah ya 21:*
ومن آياته أن خلق لكم من أنفسكم أزواجا لتسكنوا إليها وجعل بينكم مودة ورحمة إن في ذلك لآيات لقوم يتفكرون
*“Na katika ishara Zake (za Kuonyesha ihsan juu yenu) ni kuwa Amekuumbieni wake zenu katika jinsi yenu ili mupate utulivu kwao, Naye Amejaalia mapenzi na huruma baina yenu. Bila shaka katika haya zimo ishara kwa watu wanaofikiri.” (Ar-Ruwm: 21)*
Katika Aayah hii kuna ishara katika misingi inayosimamisha maisha mazima ya mke na mume ambayo itapelekea katika furaha. *Furaha ambayo itakuwa na misingi madhubuti ya mapenzi na huruma, mawaddatan warahmah.*
Ni juu ya wanandoa wawili kuujenga vizuri uhusiano wao hadi ufikie katika sifa hii ya mapenzi *(mawadda) wanapokuwa ni vijana, na kuhurumiana (rahma) wanapokuwa ni watu wazima.*
Itaendelea In Shaa Allah
*☎+97433799776*
*NDOA KATIKA UISLAM*
*UNGANA NASI KUPITIA TELEGRAM BONYEZA LINK IFUATAYO⤵*
https://t.me/joinchat/AAAAAEyebkF4FS9BJV3hkA
QURAN NA SUNNAH TZ
WHATSAPP NO +255713849566
TEMBELEA KWENYE MITANDAO KWA MASOMO MENGINE ZAIDI👇🏾
websites.
http://qurannasunnahtz.blogspot.com/
Facebook page.
https://m.facebook.com/Quran-na-sunnah-tz-100238655597178/?ref=bookmarks
Instagram.
http://www.instagram.com/qurannasunnah
Whatsapp.
https://chat.whatsapp.com/FfEoBrL4bmr0vbNQhNPKFE
telegram.
https://t.me/joinchat/3WW1yKOS9-MzN2Zk
YouTube
http://m.youtube.com/channel/UC1i0tOe8KZP7L0-rOisIb2A
No comments