FAIDA KWA WANANDOA
*FAIDA KWA WANANDOA*
*Mke kumkasirikia Mumewe*
✍ السؤال :
Swali :
يحصل أحياناً بعض الخلافات والمناقشة الحارة بين الزوجين، فتغضب الزوجة زوجها، وهذه المناقشة غالباً ما تكون في أمور دنيوية، فهل تأثم المرأة بإغضاب زوجها؟ أفيدونا أفادكم الله.
Katika baadhi ya nyakati hutokea kutofautiana na Majibizano makali kati ya wanandoa , *Mke humkasirikia Mumewe* na haya majadiliano mara nyingi huwa katika mambo ya Kidunia *Je mke hupata dhambi kwa Kumkasirikia Mumewe ?? tupeni faida Allah Awape faida*
✍ الجواب :
Jibu :
إذا كان إغضابها له بغير حق تأثم ولا يجوز لها أن تنازع ولا أن تؤذيه بالكلام,
Ikiwa kumkasirikia kwake ni pasina haki (mke) hupata dhambi wala haifai kwake kuzozana wala kumuudhi ( Mume ) kwa maneno
أما إذا كان بحق بأن أنكرت عليه منكر يتساهل في الصلاة فأنكرت عليه,
👉 Ama ikiwa ( Anamkasirikia mume ) kwa haki kama vile kumkemea Uovu ( Mumewe ) anafanya uzembe katika swala akamkemea
يشرب المسكر فأنكرت عليه وناصحته فغضب فهي مأجورة غير مأزورة بل مشكورة,
👉 Anakunywa vilevi akamkemea juu ya hilo na akampa nasaha na akakasirika *basi mwanamke atalipwa (thawabu) wala hapati dhambi bali ni mwenye kushukuriwa*
فالمقصود إن كان إغضابها له بحق فهي مأجورة, وإن كانت بغير حق فهي آثمة ولا يجوز لها إغضابه بدون حق,
Makusudio ni kwamba ikiwa kumkasirikia ni kwa haki anapata thawabu na ikiwa pasina haki anapata dhambi wala haifai kwake kumkasirikia pasina haki .
وعليها الكلام الطيب,
Ni juu yake (Kumwambia mumewe ) maneno mazuri
والسمع والطاعة في المعروف,
Kumsikiliza (mumewe) na Kumtwii katika wema
لكن إذا كان هو يتعاطى المعاصي فأنكرت عليه, ونصحته, ووجهته إلى الخير,
Lakini akiwa ( Mume ) anayaendea madhambi akakemewa na akapewa nasaha na akapewa muongozo katika kheri ( na mkewe )
فالواجب عليه أن يقبل منها وأن يشكرها وأن لا يغضب؛
👉 *Basi ni lazima kwa mume kukubali na amshukuru mkewe na wala asimkasirikie*
لأنها محسنة, ومأجورة,
*Kwakua yeye mke ni mwema na anapata thawabu*
وناصحة فجزاؤها أن يزداد حبها,
*Na anayetoa nasaha malipo yake ni kuzidishiwa mapenzi*
وأن يشكرها على ذلك. بارك الله فيكم
👍 *Na amshukuru ( Mkewe ) kwa hilo . ALLAH AWAPE BARAKA*
📚 المصدر :
👇 masdar
http://binbaz.org.sa/noor/3624"
══════ ❁✿❁ ══════
🎤 *Nasema*
Usichoke kumpa muongozo Mke au Mume wako kwa hali yeyote ile hata kama atakasirika *Kama kweli Unampenda mwenzako muelekeze katika Ibada*
Hakikisha mnaswali Faradhi na sunnah nyote , manasoma Quraan nyote , na Mnashiriki kwa pamoja katika kusaidiana yaliyo mema
*Bali yapasa khasa ikiwa mmoja atakua si mwepesi Kuziendea Ibada mwenzake kumfanyia jambo asilo lipenda kwa lengo la kumuelekeza katika ibada*
*IMETHIBI HADITHI*
Amepokea hadith Abuu daudi Kutoka kwa Abuu hureyra amesema :
Anasema Mtume swallah Allahu alaih wasalam :
رحم اللهُ رجلًا قام من الليلِ فصلَّى وأيقظ امرأتَه فإن أبَتْ نضح في وجهِها الماءَ
*Allah amrehem Mwanaume ameamka akaswali usiku na akamuamsha mkewe na ikiwa atakataa amwagie maji katika uso wake*
رحم الله امرأة قامت من الليل فصلت وأيقظت زوجها فإن أبى نضحت في وجهه الماء
Na Allah amrehem mwanamke ameamka usiku akaswali na akamuamsha mume wake , ikiwa atakataa kuamka amwagie maji usoni mwake
َ
Allah anajua zaidi
MTARISHAJI
SHEKH TAMBO WHATSAPP NO+97433799776
WASAMBAZAJI
QURAN NA SUNNAH TZ BLOGSPOT
WHATSAPP NO +255713849566
TEMBLEA BLOGGER YETU KWA KUSOMA DARASA ZETU ZAIDI
http://qurannasunnahtz.blogspot.com/
No comments