USIA KWA WANAUME
*USIA KWA WANAUME:* ✍
الصبر على النساء
*KUWAVUMILIA WANAWAKE:*
✍ كان للشيخ أبي بكر بن اللباد رحمه الله امرأة سليطة اللسان
SHEIKH ABU BAKR MTOTO WA LABBAAD-ALLAH AMREHEMU-ALIKUA NA MKE MWENYE ULIMI MCHAFU(MANENO MAKALI)
تؤذيه بلسانها،حتى قالت له يوماً: كلاما بذيئًا.
ANAMUUDHI KWA ULIMI WAKE, MPAKA KUNA SIKU AKAMWAMBIA MANENO MABAYA.
✍ فقال له أصحابه: طلقها ونحن نؤدي حقَها.
RAFIKI ZAKE WAKAMWAMBIA:MPE TALAKA, SISI TUTAMPA HAKI ZAKE.
✍ فقال: أخشى إن طلقتُها أن يبتلى بها مسلم،
AKASEMA:NAHOFIA NIKIMUACHA,ATAPEWA MTIHANI HUU MUISLAM "MWINGINE"
ولعل الله دفع عني بمُقاساتها بلاءً عظيماً،
HUWENDA ALLAH KWA SHIDA HIZI NIZIPATAZO KWAKE,HUWENDA ALLAH AMENIONDOLEA BALAA KUBWA(MTIHANI MZITO)
ولقد حفظتُها في والدها،
NA HAKIKA NIMEMUHIFADHI KWA BABA YAKE
فإني خطبتُ إلى جماعةٍ فردّوني، وزوّجني هو.
KWANI MIMI NILIPOSA KWA WATU WENGI WAKANIRUDISHA(WAKANIKATALIA) YEYE AKANIOZESHA.
وكان يفعل معي جميلاً،
NA ALIKUA ANANIFANYIA MAZURI
أفتكون مكافأته طلاق ابنته ".
JE,MALIPO YAKE YAWE NI KUMUACHA BINTI YAKE!
MAREJEO: ⇣
📚 المدارك للقاضي عياض (٥ / ٢٨٩)
Allah anajua zaidi
MTARISHAJI
SHEKH TAMBO WHATSAPP NO+97433799776
WASAMBAZAJI
QURAN NA SUNNAH TZ BLOGSPOT
WHATSAPP NO +255713849566
TEMBLEA BLOGGER YETU KWA KUSOMA DARASA ZETU ZAIDI
http://qurannasunnahtz.blogspot.com/
No comments