KUMKOSA MKEMWMA ZAIDI YA KUPOTEZA MALI
*KUMKOSA MKE MWEMA NI ZAIDI YA KUPOTEZA MALI*
✍ ﻗــﺎﻝ ﺷﻴﺦ ﺍﻹﺳﻼﻡ ﺍﺑﻦ ﺗﻴﻤﻴﺔ ﺭﺣﻤﻪ ﺍﻟﻠﻪ :
Amesema Sheikhul Islaam Ibn Taymiyyah Allah amrehem :
✍ ﺍﻟﻤﺮﺃﺓ ﺍﻟﺼﺎﻟﺤﺔ ﺗﻜﻮﻥ ﻓﻲ ﺻﺤﺒﺔ ﺯﻭﺟﻬﺎ ﺍﻟﺮﺟﻞ ﺍﻟﺼﺎﻟﺢ ﺳﻨﻴﻦﻛﺜﻴﺮﺓ ، ﻭﻫﻲ ﻣﺘﺎﻋﻪ ﺍﻟﺬﻱ ﻗﺎﻝ ﻓﻴﻬﺎ ﺭﺳﻮﻝ ﺍﻟﻠﻪ
Mke mwema huwa anasuhubiana na Mume wake Mwema kwa miaka mingi , nae ndio Starehe Ambayo ameisema Mtume wa Allah swallah Allahu alaih wasalam
ﺍﻟﺪﻧﻴﺎ ﻣﺘﺎﻉ ، ﻭﺧﻴﺮ ﻣﺘﺎﻋﻬﺎ ﺍﻟﻤﺮﺃﺓ ﺍﻟﻤﺆﻣﻨﺔ ،ﺇﻥ ﻧﻈﺮﺕ ﺇﻟﻴﻬﺎ
ﺃﻋﺠﺒﺘﻚ ، ﻭﺇﻥ ﺃﻣﺮﺗﻬﺎ ﺃﻃﺎﻋﺘﻚ ، ﻭﺇﻥ ﻏﺒﺖ ﻋﻨﻬﺎ ﺣﻔﻈﺘﻚ ﻓﻲ
ﻧﻔﺴﻬﺎ ﻭﻣﺎﻟﻚ
Dunia ni starehe , na bora ya Starehe yake ni Mke muumin , Ukimuangalia Ana kupendeza , Ukimuamrisha anakutii , na ukiwa hupo kwake anakuhifadhi katika Nafsi yake na mali yako
ﻭﻫﻲ ﺍﻟﺘﻲ ﺃﻣﺮ ﺑﻬﺎ ﺍﻟﻨﺒﻲ ﻓﻲ ﻗﻮﻟﻪ ﻟﻤﺎ ﺳﺄﻟﻪ ﺍﻟﻤﻬﺎﺟﺮﻭﻥ ﺃﻱ ﺍﻟﻤﺎﻝ
ﻧﺘﺨﺬ ﻓﻘﺎﻝ
Nae ( mke mwema ) ndie yule Ambae Mtume wa Allah ameamrisha katika kauli yake pale Muhaajirina walipo muuliza ni Mali gani ( bora ) ya kuitafuta na kuwa nayo Akasema :
👈 ﻟﺴﺎﻧﺎً ﺫﺍﻛﺮﺍً ، ﻭﻗﻠﺒﺎً ﺷﺎﻛﺮﺍً ، ﺃﻭ ﺍﻣﺮﺃﺓ ﺻﺎﻟﺤﺔً ﺗﻌﻴﻦ ﺃﺣﺪﻛﻢ
ﻋﻠﻰ ﺇﻳﻤﺎﻧﻪ
*ULIMI WENYE KUMTAJA ALLAH, MOYO WENYE KUSHUKUR , AU MKE MWEMA AMBAE ANAMSAIDIA MMOJA WENU KATIKA IMANI YAKE*
ﺭﻭﺍﻩ ﺍﻟﺘﺮﻣﺬﻱ ، ﻣﻦ ﺣﺪﻳﺚ ﺳﺎﻟﻢ ﺑﻦ ﺃﺑﻲ ﺍﻟﺠﻌﺪ ،
ﻋﻦ ﺛﻮﺑﺎﻥ .
Imepokewa na Tirmidhiy kutoka kwa Saalim bin abiy Ja'ad kutoka kwa Thaubaan
✍ Akasema tena Sheikhul Islaam
ﻭﻳﻜﻮﻥ ﻣﻨﻬﺎ ﻣﻦ ﺍﻟﻤﻮﺩﺓ ﻭﺍﻟﺮﺣﻤﺔ ﻣﺎ ﺍﻣﺘﻦَّ ﺍﻟﻠﻪ ﺗﻌﺎﻟﻰ ﺑﻬﺎ ﻓﻲ
ﻛﺘﺎﺑﻪ ،
Na huwa kwa mke huyo mapenzi na rehma kwa yale alio yataja Allah kwenye kitabu chake
ﻓﻴﻜﻮﻥ ﺃﻟﻢ ﺍﻟﻔﺮﺍﻕ ﺃﺷﺪ ﻋﻠﻴﻬﺎ ﻣﻦ ﺍﻟﻤﻮﺕ ﺃﺣﻴﺎﻧﺎ ﻭﺃﺷﺪ ﻣﻦ
ﺫﻫﺎﺏ ﺍﻟﻤﺎﻝ ﻭﺃﺷﺪ ﻣﻦ ﻓﺮﺍﻕ ﺍﻷﻭﻃﺎﻥ ،
Na huwa maumivu ya kutengana ( na mke huyu )ni zaidi kwake kuliko kufiwa na baadhi ya nyakati ( kumkosa ) ni zaidi ya kupoteza mali au zaidi ya kuacha mji
ﺧﺼﻮﺻﺎ ﺇﻥ ﻛﺎﻥ ﺑﺄﺣﺪﻫﻤﺎ ﻋﻼﻗﺔ ﻣﻦ ﺻﺎﺣﺒﻪ ، ﺃﻭ ﻛﺎﻥ ﺑﻴﻨﻬﻤﺎ ﺃﻃﻔﺎﻝ ﻳﻀﻴﻌﻮﻥ ﺑﺎﻟﻔﺮﺍﻕ
ﻭﻳﻔﺴﺪ ﺣﺎﻟﻬﻢ "
Khasa khasa ikiwa mmoja wao ana mafungamano ( makubwa ) na mwenzake , au ikawa kati yao kuna watoto watapotea kwa kutengana kwao na kutaharibu hali yao
Marejeo:⇣
ﻣﺠﻤﻮﻉ ﺍﻟﻔﺘﺎﻭﻯ " ( 35 / 299)
[ Maj'muui Fataawa 35/299 ]
MTARISHAJI
SHEKH TAMBO WHATSAPP NO+97433799776
WASAMBAZAJI
QURAN NA SUNNAH TZ BLOGSPOT
WHATSAPP NO +255713849566
TEMBLEA BLOGGER YETU KWA KUSOMA DARASA ZETU ZAIDI
http://qurannasunnahtz.blogspot.com/
No comments