NASAHA KWA WANANDOA
*✍ NASAHA KWA WANANDOA HASA MUME "*
من الامام العلامة فقيه الزمان / محمد بن صالح العثيمين - رحمه الله للأزواج
Kutoka kwa Al-allamah Muhamad Ibn Uthaimin
إن دواء الخلاف بين الزوجين ليس بأن يطردها من البيت إلى أهلها ..
، هذا لا يزيد الأمر إلا شدة
Hakika dawa ya tofauti kati mume na mke sio kumfukuza mke katika nyumba kwenda kwa jamaa zake hili jambo haliongezi isipokua matatizo .
بل الذي ينبغي للزوج أن يتودد إلى زوجته ، وأن يعفو عن السيئات .
Bali inampasa mume ampende mke wake na amsamehe makosa yake
والذي ينبغي أيضاً ... أن يكون الرجل رجلاً بمعنى الكلمة ..
Na linalompasa mume pia .... Awe mwanaume kwa maana ya maneno
فأنصح إخواننا إذا حصل بينهم وبين زوجاتهم مشاكل،
Nawanasihi ndugu zetu pakitokea kati yao na wake zao Matatizo
أو سوء تفاهم،
Au maelewano mabaya
أن يصبر الرجل ويتحمل،
Mume afanye subra na ajizuie
ويعامل المرأة بما هي أهله، مما أوصى به الرسول عليه الصلاة والسلام ...
Na amfanyie muamala mke wake kwa yale yanayoendana nae, miongoni mwa yale aliyousia kwayo Mtume swallah allahu alaihi wasalam
✍ قال رسول الله ﷺ :
Amesema Mtume swallah Allahu alaih wasalam
استوصُوا بالنساءِ ، فإنَّ المرأةَ خُلقتْ من ضِلعٍ ،
"Wausieni wanawake , hakika mwanamke ameumbwa kutokana na Ubavu
وإنَّ أعوجَ شيءٍ في الضِّلعِ أعلاه ،
Na hakika ubavu uliopinda zaidi ni wajuu
فإن ذهبتَ تقيمُه كسرتَه ،
Ukitaka kuunyoosha unauvunja
وإن تركتَه لم يزلْ أعوجَ ،
Na ukiuwacha hautaacha kuwa ni wenye kupinda
فاستوصُوا بالنِّساءِ
Basi wausieni wanawake (kheri )"
📚صحيح البخاري (٣٣٣١)
📚Sahiihi Albukhaar 3331
وإني واثق من أن الرجل إذا أطاع الله ورسوله في معاشرة أهله،
Na mimi nina hakika yakuwa mwanaume akimtii Allah na mtume wake katika kufanya muamala na familia yake
فسوف يقلب الله تعالى العداوة والبغضاء في قلبها إلى ولاية ومحبة ..
Huenda Allah akaugeuza moyo kutoka kwenye uadui na chuki kwenda kwenye urafiki na mapenzi
يقول الله عز وجل :
Amesema Allah mtukufu
﴿ وَلَا تَسْتَوِي الْحَسَنَةُ وَلَا السَّيِّئَةُ ۚ ادْفَعْ بِالَّتِي هِيَ أَحْسَنُ فَإِذَا الَّذِي بَيْنَكَ وَبَيْنَهُ عَدَاوَةٌ كَأَنَّهُ وَلِيٌّ حَمِيمٌ ﴾
"Mema na maovu hayalingani. Pinga uovu kwa lililo jema zaidi. Hapo yule ambaye baina yako naye pana uadui atakuwa kama rafiki jamaa wa kukuonea uchungu."
📚 [فصلت:٣٤]
Suurat Fussilat 34
فالقلوب بيد الله عز وجل ، ادفع بالتي هي أحسن وستتغير الأمور بإذن الله تعالى
Nyoyo zipo katika mikono ya allah A'zza wajallah, Ondosha uovu kwa lililo jema na mambo yatabadilika kwa Idhini ya Allah
📚 اللقاء الشهري (٣٨)مساوئ الأخلاق
Liqaai Ash-shahiir 38
UKIFANYIWA BAYA LIPIZA KWA KUFANYA WEMA , WEMA UTAONDOSHA UBAYA KWA IDHNI YA ALLAH
NA MARA NYINGI KUWA MNYENYEKEVU ALLAH ATAKUNYANYUA , sio ukifanyiwa kitu unaanza kusema....
Hivi mimi ni wakufanyiwa hivi !!!!???
Wewe nani usifanyiwe maudhi, wamefanyiwa walio bora kuliko wewe akiwepo Mtume wako Muhammad swallah Allahu alaih wasalam
MTARISHAJI
SHEKH TAMBO WHATSAPP NO+97433799776
WASAMBAZAJI
QURAN NA SUNNAH TZ BLOGSPOT
WHATSAPP NO +255713849566
TEMBLEA BLOGGER YETU KWA KUSOMA DARASA ZETU ZAIDI
http://qurannasunnahtz.blogspot.com/
No comments