MSHENGA
═════🍃🌹🍃═════
Swali
Mara nyingi posa inanasibishwa na mshenga, vipi huyu mshenga yupo kisheria na kama yupo nani anatakiwa awe mshenga wako?
📝JIBU📝
Mshenga ni msamiati tu lakini mshenga maana yake ni yule anaepeleka taarifa ya posa
Na mtu hata yeye mwenyewe anaweza kumwambia walii wa mwanamke kuwa nataka kuoa au kumuoa binti yako
Au wazee wa mwanamke wakawa ni washenga kwa mtoto wao , kumwambia mwanamme muoe binti yetu
Kwaio hakuna mtu maalum ambae amewekwa kisheria kwa kazi hio
Ila mtu yoyote yule ambae ni mcha mungu na mwenye Tabia nzuri basi anafaa kuwa mshenga wako : maana yeye ndio kioo chako wewe
Kama utachukua wahuni au walevi kuwa ndio washenga wako basi familia ya w'ke itaanza kukutafsiri vibaya
Kwaio : ili kukuza udugu katika famili basi yoyote alie mwema na mcha mungu anaweza kwenda kukuposea
Au sheikh au mtu anaekubalika katika jamii kutokana na Tabia zake nzuri basi unaweza kumtuma akakupelekee posa na Allah ndie mjuzi
*☎+97433799776*
*NDOA KATIKA UISLAM*
https://t.me/joinchat/AAAAAEyebkF4FS9BJV3hkA═════🍃🌹🍃═════

MTARISHAJI
SHEKH TAMBO WHATSAPP NO+97433799776
WASAMBAZAJI
QURAN NA SUNNAH TZ BLOGSPOT
WHATSAPP NO +255713849566
TEMBLEA BLOGGER YETU KWA KUSOMA DARASA ZETU ZAIDI
http://qurannasunnahtz.blogspot.com/
No comments