SWALA YA EID SEHEMU 5
5⃣ *IMAMU AKISAHAU KULETA ZILE TAKBIRA*
✍ kawaida mazowea yana tabu na Imamu nae Ni Binaadamu , anaweza akasahau kuleta zile takbira
✍ Bimaana anaanza kuleta takbira yakuhirimia swala , kisha anaanza moja kwa moja kusoma suratul fat-ha (kwa kusahau )
☝ Ikitokezea hivyo basi lililobora aendelee na swala yake na asirudi katika takbira zile takbira kama vile mtu akisahau dua yakufungulia swala
*REJEA*
الجامع في فقه ابن باز ( ٣٦٥)
6⃣ *DUA YA ISTIFTAH*
➡ Kawaida katika swala za faradhi , baada yakuleta takbira yakuhirimia swala ndipo tu naanza kusoma dua ya istiftah Kabla yakuanza kusoma suratul fat-ha
➡ Ama katika swala ya eid , kuna Ikhtilaf za wanavyuoni Lakini wanavyuoni Wengi wameenda kuwa unatakiwa ulete dua hio baada yakumaliza takbira ile ya mwanzo (yakuhirimia swala)
✍ Ingawa wapo baadhi Walosema kuwa unaweza ukaileta baada ya takbira ya mwisho katika zile takbira za eid
*REJEA*
مجموع فتاوى ، ابن العثيمين
المجلد السادس عشر
Inaendelea
*+97433799776*
*RAUDHWATUL ILM*
QURAN NA SUNNAH TZ
WHATSAPP NO +255713849566
TEMBELEA KWENYE MITANDAO KWA MASOMO MENGINE ZAIDI👇🏾
websites.
http://qurannasunnahtz.blogspot.com/
Facebook page.
https://m.facebook.com/Quran-na-sunnah-tz-100238655597178/?ref=bookmarks
Instagram.
http://www.instagram.com/qurannasunnah
Whatsapp.
https://chat.whatsapp.com/FfEoBrL4bmr0vbNQhNPKFE
telegram.
https://t.me/joinchat/3WW1yKOS9-MzN2Zk
YouTube
http://m.youtube.com/channel/UC1i0tOe8KZP7L0-rOisIb2A
No comments