Header Ads

Header ADS

SWALA YA EID SEHEMU YA 3

 

3⃣ *KUNADI KATIKA SWALA YA IDDI*

✍ Tunafahamu fika kuwa swala ya eid haina adhana wala haina Iqama

✍ Lakini baadhi ya sehemu huwa wana nadi kwa kauli

*الصلاة جامع*

✍ Wanavyuoni wanasema kuwa neno hilo halina asili wala dalili katika sheria (kwa ajili ya eid)  Kwani imethibiti mtume salallahu alayhi wasallam aliswali eid bila ya adhana wala iqama

✍ Na haijuzu kufanya jambo au kusema jambo bila dalili ya ki sheria kutoka katika kitabu na sunna na Ijmai ya wanavyuoni na ujumla wa dalili za ki sheria Ni kuachana na kila lisilo na mashiko

*REJEA*

الجامع في فقه ابن باز ( ٣٦٤)

4⃣ *KUSWALI TAHIYATUL MASJID VIWANJANI*

✍ Tumesoma kuwa swala za eid sunna Ni kuswaliwa viwanjani

✍ Na kawaida Mtu anapoenda msikitini basi haitakiwi akae mpaka aswali tahiyatul masjid

🍃 Ama kwa viwanjani : Atakae kuja basi hakuna atahiyatu masjid Kwani hilo halikunukuliwa kutoka kwa Mtume (salallahu alayhi wasallam) wala maswahaba zake

✍ Ama ikiwa watu wataswali msikitini basi hapo ataruhusika kuswali tahiyatul masjid Hata kama nikatika zile nyakati zilizokatazwa kuswaliwa

✍ katika sunna , kwa atakaefika viwanjani basi ajishuhulishe na kumtukuza Allah kwa kuleta adhkari na takbiiraat mbali mbali

✍ na swala ya eid haina kabliya , ama mtu akifika akiamua kuswali sunna Kabla ya udhu hamna tatizo ila hapana kabliya wala atahiyatu masjid katika viwanja na Allah ndie mjuzi

*REJEA*

الجامع في فقه ابن باز ( ٣٦٤)

Inaendelea

*+97433799776*
*RAUDHWATUL ILM*

QURAN NA SUNNAH TZ
WHATSAPP NO +255713849566

TEMBELEA KWENYE MITANDAO KWA MASOMO MENGINE ZAIDI👇🏾

websites.
http://qurannasunnahtz.blogspot.com/

Facebook page.
https://m.facebook.com/Quran-na-sunnah-tz-100238655597178/?ref=bookmarks

Instagram.
http://www.instagram.com/qurannasunnah

Whatsapp.
https://chat.whatsapp.com/FfEoBrL4bmr0vbNQhNPKFE

telegram.
https://t.me/joinchat/3WW1yKOS9-MzN2Zk

YouTube
http://m.youtube.com/channel/UC1i0tOe8KZP7L0-rOisIb2A

 

No comments

Powered by Blogger.