SWALA YA EID SEHEMU YA 11
1⃣1⃣ *KUINUA MIKONO KATIKA SWALA YA EID*
✍ Ukiachilia Takbiratul Ihram , ambayo zipo dalili na tumezowea kuinua mikono katika takbira hio
✍ Lakini swala ya eid huwa na takbira za ziada , Sasa je hizi piatunaruhusika kuinua mikono ?
🍃 Kuna khitilaf :
☝Lakini kwa Ufupi mtu anaweza akainua mikono pia katika takbira hizo nyengine za swala ya eid kwa kupokelewa Athari kutoka kwa maswahaba JUU ya hilo
✍Kwaio hakuna tatizo mtu akiinua mikono na Allah ndie mjuzi
*REJEA*
شرح الممتع : ٥/١٨٢
سنن البيهقي، صلاة العيدى ، باب رفع اليدين في تكبر العيد : ٣/٤٩٣
*MWISHO*
✍ mpaka hapo tumefikia mwisho wa Darsa hio kuhusu swala ya eid
✍ Tulipokpsea mtatusameh Kwani hakuna mkamilifu na mwenye elimu ya mambo yote zaid ya Allah
*الله اعلم*
Allah anajua zaidi
*+97433799776*
*RAUDHWATUL ILM*
QURAN NA SUNNAH TZ
WHATSAPP NO +255713849566
SWALI NA JIBU
SHEKH YUSUF MUHAMAD
_حفظه الله ورعاه._
*Tafadhali wasambazie wenzako upate ujira wa kusambaza*.
TEMBELEA KWENYE MITANDAO KWA MASOMO MENGINE ZAIDI👇🏾
websites.
http://qurannasunnahtz.blogspot.com/
Facebook page.
https://m.facebook.com/Quran-na-sunnah-tz-100238655597178/?ref=bookmarks
Instagram.
http://www.instagram.com/qurannasunnah
Whatsapp.
https://chat.whatsapp.com/FfEoBrL4bmr0vbNQhNPKFE
telegram.
https://t.me/joinchat/3WW1yKOS9-MzN2Zk
YouTube
http://m.youtube.com/channel/UC1i0tOe8KZP7L0-rOisIb2A
No comments