Header Ads

Header ADS

SWALA YA MGOJWA SEHEMU 3

 📚📚

📚


3⃣


➡� Kuna wagonjwa wa aina nyingi sana 


Kuna wengine wanatiwa mipira na haja kubwa na ndogo zinawatoka hapo hapo 


↩ Wengine hawezi kujizuia na haja kubwa au ndogo na kila dakika zinatoka  


⬆�na katika sheria vitu hivyo ni najis na mtu haruhusiwi kuswali na najis , Sasa atafanyaje au ataswali vipi mtu huyo ?? 


↩ Wenye maradhi Hayo , mda wa swala ukifika tutawasafisha vizuri na kuwabadilisha mavazi yao na watatia udhu 


Hata kama wakati anatia (au tunamtilisha ) udhu haja zikawa zinamtoka 


⬆�ataendelea ivyo ivyo na udhu wake na ataswali hivyo hivyo na najis zake wala hapati zambi na swala yake ni sahihi 


↩ Lakini atatakiwa kila unapoingia mda wa swala , atie udhu mwengine kisha aswali.


Allah anajua zaidi


*RAUDHWATUL ILM*


📞+97433799776

*Tambo*



QURAN NA SUNNAH TZ 

WHATSAPP NO +255713849566 


TEMBELEA KWENYE MITANDAO KWA MASOMO MENGINE ZAIDI👇🏾


websites.

http://qurannasunnahtz.blogspot.com/


Facebook page.

https://m.facebook.com/Quran-na-sunnah-tz-100238655597178/?ref=bookmarks


Instagram.

http://www.instagram.com/qurannasunnah


Whatsapp.

https://chat.whatsapp.com/FfEoBrL4bmr0vbNQhNPKFE


telegram.

https://t.me/joinchat/3WW1yKOS9-MzN2Zk


YouTube

http://m.youtube.com/channel/UC1i0tOe8KZP7L0-rOisIb2A



 

No comments

Powered by Blogger.