SWALA YA MGOJWA SEHEMU YA 2
📚📚
📚
2⃣
Watu Wengi Wakiwa wagonjwa huwa hawaswali , na Hata Ukienda spitali basi spitali nzima kama utawakuta wagonjwa wanaoswali ni wawili au watatu tu waliobakia wote hawana Habari na swala
Chakusikitisha zaidi Hata wale wanaokaa na wagonjwa wanashindwa kuwahimiza wagonjwa Wao kuswali
↩ kwa ufupi ugonjwa sio udhuru wa kuacha swala , hivyo Hata mgonjwa nae anatakiwa aswali
➡� ama Kuhusu kutia udhu , atatia udhu mwenyewe na kama hawezi mtamsaidia kumtilisha udhu
Ama kama mtu hawezi kutumia maji kutokana na ugonjwa wake basi atatayamam ao Nyie mlokuwa na mgonjwa mtamtayammamisha mgonjwa wenu
Allah anasema :
📙 وَإِنْ كُنْتُمْ مَرْضَىٰ أَوْ عَلَىٰ سَفَرٍ أَوْ جَاءَ أَحَدٌ مِنْكُمْ مِنَ الْغَائِطِ أَوْ لَامَسْتُمُ النِّسَاءَ فَلَمْ تَجِدُوا مَاءً فَتَيَمَّمُوا صَعِيدًا طَيِّبًا
. Na mkiwa wagonjwa au mmo safarini, au mmoja wenu ametoka chooni au mmewagusa wanawake, na hamkupata maji, basi tayamamuni vumbi lilio safi 📙
{ سورة المائدة : ٦ }
↩ Kwaio kama anaweza kusimama ataswali kwa kusimama , kama hawezi atakaa kitako
Na Hayo yote yakishindikana atalala ubavu wake wakulia huku ameelekea kibla au wakushoto
Na kama hivyo hawezi kutokana na maradhi yake , atalala huku miguu yake mumeielekeza kibla , kama hawezi ataelekeza vyovyote vile ambapo ni rahisi kwake.
QURAN NA SUNNAH TZ
WHATSAPP NO +255713849566
TEMBELEA KWENYE MITANDAO KWA MASOMO MENGINE ZAIDI👇🏾
websites.
http://qurannasunnahtz.blogspot.com/
Facebook page.
https://m.facebook.com/Quran-na-sunnah-tz-100238655597178/?ref=bookmarks
Instagram.
http://www.instagram.com/qurannasunnah
Whatsapp.
https://chat.whatsapp.com/FfEoBrL4bmr0vbNQhNPKFE
telegram.
https://t.me/joinchat/3WW1yKOS9-MzN2Zk
YouTube
http://m.youtube.com/channel/UC1i0tOe8KZP7L0-rOisIb2A
No comments