Header Ads

Header ADS

TABIA NJEMA NYIONGEZA SEHEMU YA 4 B 4

 

📚📚

  📚

2⃣

🔻 *_KUWAULIZA JAMAA WA MGONJWA JUU YA HALI YAKE_* 🔻

→ Unapoenda kumuangalia mgonjwa , Sio ukifika unamtizama tu kama vile unavotizama nguo Unapotaka kuinunua

Bali unatakiwa uwaulize wale wanaokaa na mgonjwa , ameamkaje au anaendeleaje

🔻 *_USHAHIDI_* 🔻

Abdallah bin Abbas amesimulia kuwa : Ali bin Abitwalib alipotoka kwa mtume katika maradhi yake *_watu walimuulza_*  " ewe abalhasan mtume ﷺ amepambaukiwa vipi ? Akasema amepambaukiwa kwa himdi zake Allah amepona ."  Bukhari { 4447 }

👉 Kwaio tunatakiwa tuulizie hali ya mgonjwa
__________

Na ikitokezea mtu ameshindwa kufika kwa mgonjwa Pengine kwa sababu moja au nyengine basi anapaswa awaulize wale walienda kumuona mgonjwa au jamaa zake juu ya hali yake

Na ikiwa mtu hakubahatika kuonana na jamaa zake mgonjwa basi anaweza kutumia japo simu kuulizia juu ya hali yake na siku akipata nafasi atakwenda mwenyewe kumkagua

Sio mtu kwenda Huendi , huulizi watu , wala simu unashindwa kupiga ukajua mgonjwa anaendeleaje , ukweli Huo Sio katika mwenendo wa kiislamu

📚 شرح رياض الصالحين : { ٣/٥٢ }

_________

QURAN NA SUNNAH TZ
WHATSAPP NO +255713849566

TEMBELEA KWENYE MITANDAO KWA MASOMO MENGINE ZAIDI👇🏾

websites.
http://qurannasunnahtz.blogspot.com/

Facebook page.
https://m.facebook.com/Quran-na-sunnah-tz-100238655597178/?ref=bookmarks

Instagram.
http://www.instagram.com/qurannasunnah

Whatsapp.
https://chat.whatsapp.com/FfEoBrL4bmr0vbNQhNPKFE

telegram.
https://t.me/joinchat/3WW1yKOS9-MzN2Zk

YouTube
http://m.youtube.com/channel/UC1i0tOe8KZP7L0-rOisIb2A

 

No comments

Powered by Blogger.