TABIA NJEMA SEHEMU YA 12
🌹 *_رياض الصالحين (SEH:12)_* 🌹
🌺 *_TABIA NJEMA_* 🌺
▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂
🔻 *_KUFANYA IBADA KWA KIASI_* 🔻
→ Uislamu haumkalifishi mtu , Bali tunatakiwa tufanye ibada kwa kiasi na kwa kadri ya uwezo wetu
# kufanya ibada kwa kiasi maana yake ni mtu kuwa kati na kati baina ya kufanya kupindukia mipaka au kuacha kabisa
a} hatutakiwi kufanya ibada kwa kupindukia mipaka mpaka tukajikalifisha
b} Lakini pia hatutakiwi kudharau na kuacha kufanya ibada , Bali tuwe kati na kati kwani Allah anasema :
*_Allah anawatakia yalio mepesi , wala hawatakii yalio mazito_* { 2:185 }
→ tunatakiwa tufanye Ibada lakini pia tuwe tunajishuhulisha na harakati nyenginezo za kimaisha kama vile kukaa na familia zetu , kufanya kazi nakutafuta rizki za halali nk na hili ni kutokana na kauli ya mtume ﷺ alipowambia wale watu watatu waliosema :
① Mimi sitooa ( nitawaepuka ) wanawake
② Mim daima nitaswali usiku wote
③ Mim nitafunga wala sitofungua
→ mtume ﷺ akawambia :
*_Ama wallahi mimi namcha zaidi Allah na namuogopa kuliko nyinyi , lakini Mimi nafunga na nafungua , naswali na nalala , na pia naoa wanawake ..._* : Bukhari { 5063 }
_______
Kwaio hatutakiwi kuzikalifisha nafsi zetu katika kufanya mambo Bali Tunapaswa kuwa wakati na kati
💦 Itaendelea In Shaa Allah
QURAN NA SUNNAH TZ
WHATSAPP NO +255713849566
ULIZA UJIBIWE
JEE TALAKA TATU KWA MARA MOJA ZINA KUBALIKA AU LAA
SHEKH YUSUF MUHAMAD
_حفظه الله ورعاه._
*Tafadhali wasambazie wenzako upate ujira wa kusambaza*.
TEMBELEA KWENYE MITANDAO KWA MASOMO MENGINE ZAIDI👇🏾
websites.
http://qurannasunnahtz.blogspot.com/
Facebook page.
https://m.facebook.com/Quran-na-sunnah-tz-100238655597178/?ref=bookmarks
Instagram.
http://www.instagram.com/qurannasunnah
Whatsapp.
https://chat.whatsapp.com/FfEoBrL4bmr0vb
NQhNPKFE
telegram.
https://t.me/joinchat/3WW1yKOS9-MzN2Zk
YouTube
http://m.youtube.com/channel/UC1i0tOe8KZP7L0-rOisIb2A
📚📚
📚
🌹 _*NYONGEZA*_🌹
Kuna hadithi mbali mbali ambayo mtume wa Allah anasema :
1) " mmoja wenu achukue tita { mzigo } wa kuni mgongoni mwake { akauze } , ni bora kwake kuliko kumuomba mtu , ampe au ambyime "
2" ) wenu achukue kamba zake , kisha aende mlimani aje na mzigo wa kuni alilobeba mgongoni mwake na aliuze , iwe ndio sababu ya Allah kuukinga USO wake { na Kuomba } ni bora kwake kuliko kuwaomba watu , wampe au wamnyime "
👉 Kwaio kwanza uislamu unahimiza mtu afanye kazi yoyote ile ambayo anaiweza na ni halali ili ajipatie kipato chake kuliko kukaa na kujibweteka au kusubiri kuwaomba watu
👆hii Sio Tabia njema kwani mwisho watu watakuwa Wana kukimbia au kukusema vibaya pembeni " *_MZEE WA VIRUNGU ANAKUJA_*" nk
Kwaio Bado uislamu unahimiza mtu kutumia nguvu au maarifa yake kujishuhulisha.
⤵⤵⤵
Hadithi ya kwanza kutoka kwa Abi Abdallah azubeir bin awaam
Ambayo ipo katika sahihi bukhari hadithi no 1471
2) hadithi yapili ni kutoka kwa Abu huraira ambayo ipo katika sahihi bukhari 1480 na katika Muslim 1042
na katika riyadhu swalihina hadithi zote hizo na mlango Huo wa umuhimu wakufanya kazi unapatikana katika mlango ni { 59 } na hadithi zenyewe ni 👇
QURAN NA SUNNAH TZ
WHATSAPP NO +255713849566
TEMBELEA KWENYE MITANDAO KWA MASOMO MENGINE ZAIDI👇🏾
websites.
http://qurannasunnahtz.blogspot.com/
Facebook page.
https://m.facebook.com/Quran-na-sunnah-tz-100238655597178/?ref=bookmarks
Instagram.
http://www.instagram.com/qurannasunnah
Whatsapp.
https://chat.whatsapp.com/FfEoBrL4bmr0vbNQhNPKFE
telegram.
https://t.me/joinchat/3WW1yKOS9-MzN2Zk
YouTube
http://m.youtube.com/channel/UC1i0tOe8KZP7L0-rOisIb2A
No comments