Header Ads

Header ADS

SWALAH SEHEMU YA 21

 *Assalaam Alaykum Wa Rahmatul LLAAHI Wabarakaatuh*


Tunaendelea na darasa letu Swalah tuone ni Jinsi gani Kisheria unaweza kumsahihisha Imaamu 


       *KUMSAHIHISHA IMAAM*

                           *NA*

💠 *KUJIKINGA NA SHAYTWAAN*💠

               

SEHEMU YA 21

=============♦============= 

 

     *KUMSAHIHISHA IMAAM*

 

Ametoa  (صلى الله عليه وآله وسلم) mfano katika kumsahihisha Imaam anapobabaika au anapochanganyikiwa na kisomo chake. Mara moja aliswali, akasoma ndani yake kisomo, akasahau. Alipomaliza alimwambia Ubayy: *((Uliswali na sisi?))*. Alijibu: *"Ndio".* Akasema: *((Hivyo nini kilichokuzuia [kunisahihisha]?))*  ([ Abu Daawuud, Ibn Hibbaan, Atw-Twabaraaniy, Ibn 'Asaakir (2/296/2) na Adhw-Dhwiyaa katika Al-Mukhtaarah kwa isnaad Swahiyh.]).

 

 

 

      *KUJIKINGA NA SHAYTWAAN*

                             *NA* 

         *KUTEMA MATE KIDOGO*

            *WAKATI WA SWALAH*

                              *ILI* 

          *KUONDOSHA WASIWASI*

=============♦=============

 

'Uthmaan bin Abil-Aasw (رضي الله عنه) alimwambia: *"Ewe Mjumbe wa ALLAAH ! Shaytwaan ameingia baina yangu na baina ya Swalah yangu na kisomo changu, ananibabaisha katika kisomo changu!"* Mjumbe wa ALLAAH (صلى الله عليه وآله وسلم) akasema: *((Huyo ni Shaytwaan anayeitwa Khinzab, hivyo utakapomuhisi jikinge kwa ALLAAH naye, na tema mate kidogo([   2] "At-Tafl" ni mpulizo ikiwa na mate kidogo, hivyo ni zaidi ya kupuliza.  [(An-Nihaayah).]) upande wa kushoto kwako mara tatu))*. Akasema: *"Nikafanya hivyo, na ALLAAH Akamuondoshelea mbali nami"*.([ Muslim na Ahmad ]).

 

 

In Shaa ALLAAH tutaendelea tena 

 

https://t.me/joinchat/3WW1yKOS9-MzN2Zk



*+97433799776*


*Ungana nasi kupitia channel yetu mpya ya Telegram ili kupata darsa zoote za SWALAH*

⬇⬇


 https://t.me/joinchat/AAAAAEiWeE_WKW4ORQxRzw



QURAN NA SUNNAH TZ 

WHATSAPP NO +255713849566 


TEMBELEA KWENYE MITANDAO KWA MASOMO MENGINE ZAIDI👇🏾


websites.

http://qurannasunnahtz.blogspot.com/


Facebook page.

https://m.facebook.com/Quran-na-sunnah-tz-100238655597178/?ref=bookmarks


Instagram.

http://www.instagram.com/qurannasunnah


Whatsapp.

https://chat.whatsapp.com/FfEoBrL4bmr0vbNQhNPKFE


telegram.

https://t.me/joinchat/3WW1yKOS9-MzN2Zk


YouTube

http://m.youtube.com/channel/UC1i0tOe8KZP7L0-rOisIb2A



 

No comments

Powered by Blogger.